UWAZI NA UKWELI KITABU CHA NNE

Category:

Rais wa Watu Azungumza na Wananchi

by Benjamin W. Mkapa

Hiki ni Kitabu cha Nne katika mfululizo wa vitabu vya Uwazi na Ukweli vyenye mkusanyo wa hotuba za kila mwisho wa mwezi za Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Benjamin Mkapa. Pia Mheshimiwa Rais anazungumzia umuhimu wa wananchi katika kushirikiana na jeshi la polisi ili kupunguza wimbi la uhalifu. Anaeleza pia uanzishaji wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) kufuatia mafanikio makubwa ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya msingi (MMEM). Hatimae anaeleza kuhusu Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA), hali ya siasa nchini na uhusiano na ushirikiano na mataifa ya nje.

This series is a key record of the Presidency of Benjamin Mkapa of Tanzania, who held office from 1995-2005. From 2001 he instituted monthly TV and radio addresses to the Nation on various topics of national, political, social and economic interest. The addresses in these collections are organised chronologically.

 

About the Author

Benjamin W. Mkapa

Benjamin William Mkapa (born November 12, 1938) was the third President of the United Republic of Tanzania (1995–2005) and former Chairman for the Revolutionary State Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “UWAZI NA UKWELI KITABU CHA NNE”

Your email address will not be published. Required fields are marked *